Je unazikumbuka nyimbo hizi za Bongo Flava?

“Nakshi Nakshi”: Ni wimbo wa Bongo Flava uliotolewa na msanii AliKiba mwaka 2007, alimshirikisha Hakim 5. “Cinderela”: Hii ni moja ya nyimbo maarufu ya AliKiba iliyotolewa mwaka 2007, Alimshikisha Spince “Zeze”: Ni wimbo wa msanii TID uliotolewa mwaka 2003. “Zeze” ni jina la chombo cha muziki. “Binti Kiziwi” ya Z-Anton: Wimbo huu ulitolewa mwaka 2009. Unaelezea hadithi ya msichana kiziwi ambaye hawezi kuelewa maneno yanayosemwa, … Continue reading Je unazikumbuka nyimbo hizi za Bongo Flava?

Diamond Platnuz Ashinda tuzo za AFRIMMA

Msanii Diamond Platnumz, Kutoka Tanzania Africa Mashariki. Kwa mara nyingine tena ameshinda tuzo ya AFRIMMA msanii bora Afrika Mashariki. Tuzo hizo zilizo fanyika October 8 2017 mji wa Texas nchini Marekani, wasani kadhaa wa Tanzania walitajwa kwenye kiny’a ng’anyiro hicho na Diamond ndio msanii pekee kutoka Tanzania ameibuka kidedea na kuchukua tuzo hiyo. Kwa upande wa wanawake east Africa tuzo alichukua Victoria Kimani. Continue reading Diamond Platnuz Ashinda tuzo za AFRIMMA